Untitled Document

Customer Care

Home > Personal  > Customer care > Help > Genuine Device Status

How To Check The Genuine Status Of Your Device


Dial *#06# to get the IMEI codes, then send them as a text to SMS code 15090 to test the validity. You will receive the following status SMS;

“If IMEI shows a different model, check with your vendor. Else, change the phone before June 2016 as it may NOT BE GENUINE”


Jinsi Ya Kuhakiki Uhalisia Wa Simu Yako


Piga *#06# ili kupata namba tambulishi, kisha itume kama ujumbe kwenda 15090 ili kuhakiki uhalisia wa simu yako. Utapokea ujumbe ufuatao kuhusu uhalisia wa simu yako;

“Kama IMEI haioani na simu yako wasiliana na muuzaji. Usipoweza, ibadilishe kabla ya Juni 2016 kwani yaweza kuwa BANDIA”