Untitled Document

Customer Care

Home > Personal  > Customer care > Help > Register Your Lline

SIM Card Registration


Please be reminded that owning, using or when buying a new SIM Card, it is your responsibility to ensure the SIM Card is registered in accordance with the requirements of law.

For more information, please visit: https://www.tcra.go.tz/images/documents/policies/epoca.pdf

The Electronic and Postal Communications Act, 2010 (Act No. 3/10), failure to comply is a criminal offence and if found guilty appropriate penalties shall apply.


Registering your new SIM Card is simple:

 1. Visit any registration points or mobile operator store with your valid identity card.
 2. Buy a SIM Card.
 3. Provide your details to the registration agent, and your portrait and ID are captured.
 4. Put your signature to confirm the captured information is correct. Your SIM Card will then become active.

Please note:

Accepted IDs from now are: -

 1. National ID
 2. Zanzibar Resident ID
 3. Voters’ Card
 4. Passport
 5. Driving License

*For foreigners, on registering SIM cards ID to be used is only Passport.

Please dial *106# to verify your registration status and ensure your name is correct.

In the case where the information is incorrect, kindly visit your service provider’s shop for corrections.


TAARIFA KWA WATEJA WETU


Tunapenda kuwakumbusha kuwa, ni kosa la jinai kumiliki au kutumia laini ya simu isiyosajiliwa.

Ni wajibu wa kila mmiliki wa laini ya simu kuhakikisha kuwa laini yake imesajiliwa kwa usahihi na kwa kuzingatia matakwa ya kisheria.

Kwa taarifa zaidi,tafadhali tembelea tovuti hii: https://www.tcra.go.tz/images/documents/policies/epoca.pdf

The Electronic and Postal Communications Act, 2010 (Act No. 3/10) Kumbuka, ni kosa la jinai kumiliki au kutumia laini ya simu isiyosajiliwa, adhabu kali itatolewa kwa yeyote atakayethibitika kutenda kosa hilo.


Ni rahisi kusajili laini yako mpya:

 1. Tembelea vituo vya usajili au ofisi za watoa huduma za simu za kiganjani ukiwa na kitambulisho chako halali.
 2. Nunua laini yako mpya ya simu.
 3. Toa taarifa zako sahihi kwa wakala wa usajili. Taswira ya sura yako na ya kitambulisho chako vitachukuliwa.
 4. Weka sahihi yako kuthibitisha ukweli wa taarifa iliyochukuliwa kama ni sahihi. Laini yako itakuwa tayari kwa kutumika.

Tafadhali kumbuka kuanzia sasa, vitambulisho vitakavyotumika ni: -

 1. Kitambulisho cha Taifa,
 2. Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi,
 3. Kitambulisho cha Mpiga Kura,
 4. Hati ya Kusafiria, na
 5. Leseni ya Udereva.

*Kwa wasio raia wa Tanzania, watatakiwa kutumia pasi ya kusafiria Tu katika kufanya usajili.

Ndugu mteja, kutumia laini ambayo haijasajiliwa kwa jina lako ni kosa la kisheria. Piga *106# huhakiki jina lako. Kama si sahihi tafadhali tembelea.

sim card