Untitled Document

Internet

Home > Personal  > Internet > Internet Services > Search with Google


Search with Google


Wakati mwingine kutafuta jibu sahihi kunaweza kubadilisha maisha yako. Tazama video hizi kufahamu jinsi gani unaweza kubadili maisha yako:


 

Airtel and Google Present: New DadAirtel and Google Present: PotatoGoogle


Je, ni kitu gani unatafuta?
Endelea kuperuzi Google ukiwa na Yatosha Internet vifurushi bomba na vyenye kasi kuliko vyote. Piga *148*88#

Muda

Data (MB)

Bei (Tsh)

Masaa 24

50MB

250

150MB

500


Jinsi ya kutumia

Njia ya 1

Una swali? Pata jawabu kupitia Google search. Nakili swali lako moja kwa moja kwenye Google search box. Kwa mfano "Mapishi ya dakika 30', 'mtindo mpya wa nywele" au "matokeo ya mpira"


Njia ya 2

Hamasika na pata taarifa ili ukamilishe ndoto zako. Hakuna mipaka na majibu yapo mbele ya macho yako. Kwa mfano, tafuta "jinsi ya kuanzisha biashara", "jinsi ya kuongeza kipato" au "jinsi ya kuandika CV"


Njia ya 3

Fanya mahesabu ya haraka na badilisha viwango kirahisi mara moja. Pata taarifa unayohitaji ndani ya sekunde chache. Kwa mfano, tafuta "Shillingi kwenda dola", "Gawanya 789 by 33" au "London saa ngapi"


Njia ya 4

Usiogope kukosea kunakili au kuandika neno, Google search itakusaidia. Wewe nakili tu unachojua, Google search itakusaidia. Google search ni rafiki yako.


Kwa maelezo na taarifa Zaidi, tembelea Google Inside Search page.