Untitled Document

Promotions

Home > Personal  > Promotions > Sibanduki

KWA NINI SIBANDUKI AIRTEL?


1.  Natuma na kupokea pesa kwa unafuu na uhakika na Airtel Money


2.  Nikilinganisha na kwengine, vifurushi vya Yatosha vinanipa dakika, MB na SMS zaidi.


3.  Napata mkopo wa Timiza kulingana na matumizi yangu bila dhamana kupitia Airtel Money.


4.  Nahamisha pesa kutoka kwenye akaunti yangu ya benki kwenda Airtel Money nikiwa popote.


5.  Ninawapata mawakala wa Airtel Money maeneo ambayo hakuna huduma nyingine kama hii.