Promotions

Home > Personal  > Promotions > Tabasamu Kwa 200

Tabasamu Kwa 200


Airtel wamekuletea Tabasamu vocha kwa Tshs 200 tu, ndio mtandao pekee wenye vocha ya Tshs 200 tu.

Sasa ukiwa na Tshs 200 tu! UNATABASAMU maana unaweza kununua vocha, iwe dukani kwa mangi, vijana wa mauzo wa Airtel au wachuuzi wote wa vocha nchini.

La kukuongezea Tabasamu zaidi ni kwamba Tsh 200 haijaishia kwenye vocha tu, unaweza pia kununua bando, hii ni baada ya kununua vocha yako na kuongeza salio utapiga *149*99# kisha:

  • Chagua 3 Kupiga Airtel kwenda mitandao mingine
  • Au Chagua 4 kupiga Airtel kwenda Airtel

Hii ni njia sahihi ya maisha, Hamia Airtel leo

Airtel Mtandao bomba kwa smartphone yako