Internet

Home > Personal  > Internet > Internet Services > Facebooka BURE

FACEBOOKA Bila Salio Wala MB


Airtel inakuwezesha ku- FACEBOOKA zaidi bila Salio wala MB yaani BURE hadi 50MB. Kuwa wa kileo usipitwe na yanayojiri kitaa.


Share matukio upate likes za kumwaga, comment, post biashara na chat BURE kabisa kwenye facebook ukiwa na laini ya Airtel pekee.


Bofya HAPA kufurahia Facebook bila salio wala MB hadi 50MB kutoka Airtel.


Jiunge na Airtel mtandao bora kwa smartphone yako


Najiandikishaje na Facebook?


Fuata hatua hizi fupi kufungua akaunti ya Facebook;

  1. Piga *148*88# Chagua namba 3 Facebook utapata linki/tovuti.
  2. Bofya tovuti, Fungua akaunti mpya kisha jaza namba yako ya simu, jina lako, jinsia, tarehe ya kuzaliwa, namba ya siri kisha chagua ingia.
  3. Hakikisha namba ya simu na utapokea sms ya uhakiki akaunti imefunguliwa.
  4. Utapokea sms kukupa namba ya siri ya kutumia, hakikisha akaunti yako kwa kuingiza namba hii ya siri.

Anza kufacebooka Bure, posti picha, komenti, chati na marafiki.


Download Facebooka hapa:


Appstore

BB world

Google Play